Biashara ya pikipiki/boda boda Vs biashara ya uwakala

Aisee! Hii imekaaje yaani wewe wakala unapata hadi meseji ya muamala kutoka au
 
Hakuna biashara kamanda isiyokua na risk hakuna hata hiyo boda boda unayosema Leo unaweza kuwa nayo kesho hauna mm nina jamaa yangu kaibiwa boda boda mpya juzi tu na nilikua ya mkataba labda mkuu kama hujawai kufanya biashara mbalimbal mkuu

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Aisee! Hii imekaaje yaani wewe wakala unapata hadi meseji ya muamala kutoka au
Wanafowad kwa namba ya kawaida wanakupigia simu wanakuvuta kwanza kwa maneno matamu wanakuuliza kweny simu yako una kias gan ukiwambia tu hahahaha umeharb wanatengenez massage ya kubumba wanafowad

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Wanafowad kwa namba ya kawaida wanakupigia simu wanakuvuta kwanza kwa maneno matamu wanakuuliza kweny simu yako una kias gan ukiwambia tu hahahaha umeharb wanatengenez massage ya kubumba wanafowad

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Duuh! Sasa bado nina tongo tongo yaani hela inakuaje mpaka inawatumia au kuna namba ambazo wanatumia
 
Duuh! Sasa bado nina tongo tongo yaani hela inakuaje mpaka inawatumia au kuna namba ambazo wanatumia
Hahaha wale wanakupigia wanakuambia kuna mteja kakosea kutoa hela kwako mfano anaitwa juma muamala huo umeuona ww utasema hapana watakwambia kweny simu yako unashingap wakala utasema Nina lak tano sawa na juma kakosea lak tatu hebu angalia massage hiyo imeingia na kwel inaingia kwamba salio lako limekua lak nane watakupa number umrudishie juma lak mbil na nusu hiyo hamsin wanakwambia kaa nayo kama usumbufu sasa ww si utaona umepata hamsin ya chap chap kumbe umepigwa kifupi tamaa ndio inatuponza

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Nunua bodaboda kisha jitahidi kila siku uweke pesa ya kutunza isipungue elfu 20 ukifanya kazi kwa miezi 6 ukosi million 3, unauza bodaboda unaongeza ela uliyotunza unachukua Bajaj ya million 4 au 5.

Kwenye bajaj ukikomaa mwenyewe kwa siku ukosi 50 na hata ukimpa mtu malemgo kwa siku itakuwa 15 mpaka 20.
 
Bajaji ya mizigo au
 
Mkuu inawezekana eeh? Nimependa hili wazo lako.
Mfano sisi watumwa wa mabwana zetu (waajiriwa) tunawezaje kuifanya hii boda boda ili baadae tuondokane na utumwa?
 
Mkuu inawezekana eeh? Nimependa hili wazo lako.
Mfano sisi watumwa wa mabwana zetu (waajiriwa) tunawezaje kuifanya hii boda boda ili baadae tuondokane na utumwa?
Mkuu inawezekana ni maamuzi.
Bajaj ukitulia kwa watu unapata nzuri, unategea zile za wale watumishi walionunua mpya au walikopa dereva akazingua hizo uwa zinauzwa bei ya kawaida.

Pia unaweza ukatafuta iliyo kwenye hali nzuri body na injini ukapiga service, ukaendelea na kazi.
 
Mkuu inawezekana eeh? Nimependa hili wazo lako.
Mfano sisi watumwa wa mabwana zetu (waajiriwa) tunawezaje kuifanya hii boda boda ili baadae tuondokane na utumwa?
Ukiwa bodaboda kama ni yako hakikisha kila siku utunze walau elfu 15 au 20 iwe mvua iwe jua. Na hiyo pesa usiiguse iwe service au jambo lolote.
 
Ahsante mkuu. Nimefikilia nianze na boda boda baadae niingie kweny bajaj (nianze step ndogo).

Lkn nikiingia mtaani nkaona zilivojaa nakata tamaa kabisa. Ni nyingi sana. Wateja wanapatikana kweli?
 
Ukiwa bodaboda kama ni yako hakikisha kila siku utunze walau elfu 15 au 20 iwe mvua iwe jua. Na hiyo pesa usiiguse iwe service au jambo lolote.
Nashukuru mkuu. Ingawa nafikilia nisiache kazi mara moja, ila niugawe muda nikisha save kiasi cha kutosha ndo nianze harakati za juu.

Kwenye kuugawa muda hapo ndo changamoto ilipo. Na boss ni mtata hatak mtu apate muda wa kufanya issue zake. Ni dizain ya wale watu wanaotaka usiwe na pesa ndefu ili uendelee kumtumikia.
 
Anha! Kumbe ndio inakua hivyo hapa sasa nimekupata
 
Wateja wapo mkuu.
Shukran boss.

Hakika hii idea ntaiweka kivitendo.
Ngoja covid iishe hali irudi kawaida, niingie nitafute leseni kisha niingie road.

Kama mlivonishauri kwenye uzi wangu (pikipiki gani imara) nimeridhia kuvuta BM X150 nianze nayo kwanza huku nkijipanga kumtosa bwana wangu (mwajiri).
 
Boda boda inalipa Kama ukifanya mwenyewe na kwa malengo. Mi nilinunua bodaboda nikampa dogo ila kabla hajaanza kuleta buku 7 nilimjazia full tank then nilimwambia tukusanye hela kwanza mana Kuna hela natakiwa nirudishe, aisee yaani kwa siku alikuwa analaza mpaka 40000/= na chini kabisa alilaza 28000/= Soo baada ya kulipa deni ndo akawa analeta buku 7.

Dogo alipiga kazi ndani ya miezi 6 kaja kunikabidhi chombo huku ana bodaboda yake mpya kabisa. Baada ya hapo dogo nilimushauri dogo kuanza ujenzi kwa kufyatua tofari kidogokidogo home mana nilikuwa na mashine ya kufyatulia tofari na aliweza kujenga kwa kazi hiyo nyumba ya vyumba 3. Soo mkuu Kama unaweza kukomaa mwenyewe inakutoa.
 
Reactions: PYD
Safi sana boss. Nimehamasika sana.
 
Hii kitu inalipa sema wengi wao hawajitambui ndo mana inaonekana Kama Ni kazi ya kihuni flani na watu wanaichukulia poa, ila Kama ukiwaseriasi inakutoa
Boss boda boda wengi sana siku hizi, mbinu gan ya kupata wateja?

Mfno mm ni mtumwa wa mtu, natak niwe najigawa naipiga hii issue.

Nawezaje kuifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…