BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 478
- 819
- Thread starter
-
- #21
Kwakweli aisee na Ukute jamaa anaishi kwao chumba cha uani au nyumba ya urithi alafu ana boda, oya anakuwa na jeuri huyo. Hadaiwi hesabu wala kodi, anabweteka. Una safar anakwambia uko siendi, ah naangalia mpira.Uweiezaji wa wanawake na vijana wavivu
Bila mkataba, bila advance, bila bima hakuna deal, to me asset protection na loss control ni priority, profit ni bonusSema kaka inabidi uuset vizuri mkataba wako tofaut na hapo hata mkienda polisi mnaambiwa tuu kaeni chini mkubaliane. Mimi kuna jamaa mpaka nikamuachia tuu pesa nilkuwa namdai ila akanipa chombo.
Vijana wengi wanaona sifa sana kuendesha chombo mpya lakin hawajui wanajirudisha nyuma,Sema bodaboda wengi ni machizi... kanunua pikipiki kwa milioni takribani 4(baada ya kumaliza mkataba) anakimbilia kuuza pikipiki kwa milioni 1.5 badala ya kujipa mkataba yeye mwenyewe...
Sasa anauza anaenda kuchukua mkataba mwingine, anaanza upya.
Ila huo utaratibu umesaidia kuwa na boda nyingi sana mtaanSijui nani alianzisha huu mfumo kwenye bodaboda aisee, biashara nyengine hazipo hivyo ukiacha na bajaji pia.
Ni uhuni sijawahi ona biashara ina mkataba mbovu kama hiyo lengo ni kumnyonya mmiliki wa chomboSijui nani alianzisha huu mfumo kwenye bodaboda aisee, biashara nyengine hazipo hivyo ukiacha na bajaji pia.
Hapo tu ndo naposhindwa kuwaelewa baadhi ya bodaSema bodaboda wengi ni machizi... kanunua pikipiki kwa milioni takribani 4(baada ya kumaliza mkataba) anakimbilia kuuza pikipiki kwa milioni 1.5 badala ya kujipa mkataba yeye mwenyewe...
Sasa anauza anaenda kuchukua mkataba mwingine, anaanza upya.
Waafrika tunauelewa mdogo sana kwenye mambo ya asset na uwekezajiYaani mmiliki unapata faida mwaka na nusu tuu😅 alafu shwaaah unaanza upya.