BlessedKila la Heri
skills ninazo za kucheza tu PlayStation ndug ila kuhusu kumanage hyo biashara ndo naomba ushauri kwenu.pia naona inalipa sana coz Kuna Mtu anaingiz 20+k Kwa sikuUna skills za biashara? na unaona future ya iyo biashara?
Fanya market research usikurupuke kwa sababu unaona kwa mwingine inamlipa, kumbuka kila mtu ana siri yake kwenye biashara.skills ninazo za kucheza tu PlayStation ndug ila kuhusu kumanage hyo biashara ndo naomba ushauri kwenu.pia naona inalipa sana coz Kuna Mtu anaingiz 20+k Kwa siku
Weka Uswazi ila ujiandae kugombana na wazazi. Mimi mwenyewe niko mbioni kutupia kam m5 sehemu moja hivi niweke ps watu wachezeHabarini wakuu Mimi ni kijana wa miaka 23 lengo la Uzi huu ni kuomba msaada jinsi ya kuanzisha biashara ya playstation.
Nina plani za kuanzisha biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya elimu ya juu hapo mwezi wa saba baada ya kujikusanya hela ya boom Nina kama M1.5 .hivyo nahitaji mawazo,mafanikio na changamoto kuhusu biashara hii...natanguliza shukrani Kwa wana jf wote
Yaah pia naona ukiwa na kibali serikali za mitaa itasaidiaWeka Uswazi ila ujiandae kugombana na wazazi. Mimi mwenyewe niko mbioni kutupia kam m5 sehemu moja hivi niweke ps watu wacheze
Thanks sana ndugu God bless youWeka biashara yako Sehemu Iliyochangamka Ps nunua zile zilichochipiwa ndio nzuri Kwa Biashara Pia inaafaa ukianza na PS zisipungue 3 weka game mbalimbali mfano Mpira combat magari nk alika baadha ya marafk zako cku za mwanzo waje kucheza Ili kuchangamsha biashara yako Wahudumie vizuri wateja wapya Ili waendeelee kuja hapo mfano wanacheza mechi 4 wewe waongezee 1 waambie hyo ofa nakuhakikishia ukipata sehemu nzuri kulaza 20k Kwa siku ni kawaida pia Kuna changamoto zake mfano umeme kukatika c unajua wanetu tanesco tena? Pad kuharibika hapa inabd uwe mkali maana madgo wanaharibu sana hiz pad pia kugombana na wazaz wa
Madogo kawaida maana unakua dogo kaiba ela kwao Ili acheze game so hayo inabd ujipange mapema kila la heri kijana mpambanaji