Wasalaam.
Naomba ushauri.
Natamani kuanza biashara ya kuuza power tools. Power tools ni vitu kama drill machines, hand saws, fyekeo la majani la umeme/ mafuta, compressors , vya kupulizia rangi n.k nimeona kuna fursa . Naomba ushauri kwa mwenye uzoefu hii biashara unaionaje? Soko lipo wapi sana ?
Yapi machimbo nichukulie bidhaaa?
Mimi napenda nichukue power tools used kutoka uk.
Karibu unishauri