Biashara ya Prastic Printing

Biashara ya Prastic Printing

MALIYANGU

Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
22
Reaction score
0
Habari wadau?
ninahitaji msaada kwa mtu anayejuwa mahali au mtu wake wa karibu anayeweza kuniprintia sign board ya prastic. size ni 30cmx50cm kwa muonekano inazidi kidogo kwa A4 size.
nina shida nazo kama 10 pcs tu
 
Kama bado mkuu nicheki PM tufanye kazi.
 
best quarity....... kama hata kuandika hujui utaweza kazi kweli
 
Back
Top Bottom