Biashara ya procurement

Saracen

Senior Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
145
Reaction score
63
Inasemekana Manji ana jeshi la watu kama 70 hivi wote kazi yao ni moja tuu

kubid tenda zote za serikali ya TZ kwa kutumia shell companies

sasa nauliza mtu unainawezaje kuingia kwenye hiii game ya procurement za serikali kama manji?

of course unaweza kuingia kama supplier lakini what about kama middle man kama anavyofanya huyu manji au itakuwa ngumu maana pesa za kuhonga huyu naamini hakosi

naomba ushauri tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…