Biashara ya ream (karatasi) kutoka china

local2014

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Wadau poleni na shughuli, nilikua naulizia iwapo kuna mdau yoyote anayefanya biasharaya kuuza ream kwa bei ya jumla anayechukulia china, shida kubwa nilionayo ni brands zipi za kutoka china zinazonunulika hapa bongo na kama naweza kupata contacts ya hayo makampuni yanayozalisha ream china. Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…