Biashara ya refurbished/new Laptops

G_Host

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
16
Reaction score
3
Habari wanajamvi!
Mimi ni mkazi wa moshi mjini, nataka kianzisha biashara ya kuuza laptops & desktop for both new ones and refurbished ones.
Kutokana na ufinyu wa knowledge on how and where to get for cheap prices as whole sale (for starter lets say 20 pieces); ukizingatia the demand is high kwa kua kuna wanafunzi wengi saaana.
Naitaji mwenye uzoefu na haya mambo anipe knowledge na ushauri ili nijue nianzia wapi.

Asanteni.
 
Habari
Je lengo ni kununua mzigo hapa nchini au ni kuagiza toka nje ya nchi?

Iwapo utahitaji kuagiza kutoka nje ya nchi ili ku_make profit kubwa basi usisite kuwasiliana nami kupitia hii thread www.bit.ly/101buy4me

karibu
 
Mkuu naweza kukusupply on a regular basis both new used for decent price.
 
Habari
Je lengo ni kununua mzigo hapa nchini au ni kuagiza toka nje ya nchi?

Iwapo utahitaji kuagiza kutoka nje ya nchi ili ku_make profit kubwa basi usisite kuwasiliana nami kupitia hii thread www.bit.ly/101buy4me

karibu
Habari mkuu, najua nimechelewa kujibu hii na nimepitia thread yako na kuzisoma vizuri.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo yaani kwa kifupi ndio nataka nianze na mtajiwa mil 1. Naitaji Laptops with regular basis price. Yaani kama nikipata a piece for laki 2 nianze na hzo 5. Ushairi wa wapi ziko bei ya affordable ndio tatizo, je wewe unanisaidiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…