MwanaHaki R I P Joined Oct 17, 2006 Posts 2,401 Reaction score 707 Apr 25, 2013 #1 Waungwana Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza Personal Computers (Windows) mpya, kwenye miji hii: 1. Mbeya 2. Iringa 3. Kigoma 4. Mwanza 5. Tabora 6. Mtwara Ningependa kujua, kwa wenye kuishi huko, bei (kwa PC za kawaida, mpya) zikoje? Asanteni.
Waungwana Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza Personal Computers (Windows) mpya, kwenye miji hii: 1. Mbeya 2. Iringa 3. Kigoma 4. Mwanza 5. Tabora 6. Mtwara Ningependa kujua, kwa wenye kuishi huko, bei (kwa PC za kawaida, mpya) zikoje? Asanteni.