Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

Nenda Kahama kafanye utafiti ujiridhishe mwenyewe aina ya huduma unayotaka kutoa na mahitaji ya wateja
Haitoshi kupitia maoni yetu hapa yakakusaidia
Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje?

Wateja wapo wa kutosha?
 
Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje?

Wateja wapo wa kutosha?
Hauko serious man,, yaan uko dar unataka kujua biashara ya mgahawa kahama iko vipi!?

Nenda kafanya research physically mzee wangu usisikilize maneno ya watu
 
Hii biashara ya mgahawa nadhani uifanyie hapa hapa dar, kuna maeneo kama GOBA ina wateja ila haina migahawa kabisaa
 
Back
Top Bottom