Biashara ya Saccos

Naomba anayejua ni process gani, na ni wapi na document pamoja na vitu vitu gani vinavyohitajika ili kufungua SACCOS anielekeze hapa jukwaani.
Natanguliza shukran

Nenda makao ya wilaya ulipo na onana na afisa ushirika utapata maelezo na forms
Kuanzisha saccos ni wilayani
 
salaam ndugu wana jamii!

Mimi ni kijana, napenda kuwa mjasiria mali kwa kukuza uchumi wangu na jamii kwa ujumla.

Kwa kushirikiana na vjana wenzangu, tumeamua kuanzisha kikundi chetu cha biashara.

Je, ni taratibu gani tupaswa kuzifuata ili kusajili jina la kikundi chetu cha biashara ili kiwe na utambuzi wa kisheria?
1.tunatakiwa tuwe na nini/vigezo
2.tunatakiwa tuende kwa nani (ngazi za kiutawala serikalini).
 
LIMENSE IYO LIKITONTA!
kama unataka kampuni nenda BRERA au Kama ni SACCOS muone Afisa ushirika karibu yako kwani mpo wapi!
 
Inategemea unataka kusajili nini. Kama ni chama cha ushirika au ...? Vikundi kama vikundi vinasajiliwa idara ya mambo ya ndani. Ukifika hapo watakueleza vigezo vya kufuata. Lakini kwa nini msianze kufanya hicho mnachotaka kufanya bila kujisajili? Andaeni sheria au katiba ambayo kila mtu ataifuata mkianisha madhumumuni ya kuanzisha hicho kikundi, mantaka kufanya nini, mtakifanyaje hicho mlichodhamiria na sheria ndogo ndogo ambazo kila mtu atafuata. Mkisimia katiba yenu mtafanikiwa.
 
Ndugu watanzania ,Nawasalimu

Naomba kujuzwa kuhusu utarabinu wa kusajiri SACCOS,tayari tumeshaandaa ,masharti ya chama

ASANTE
 
.... Upumbavu Hujibiwa Kipumbavu..!! Kamuulize Mama Yako
 

Zainab Tamim, pitia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…