Biashara ya salon za kiume na kike

Tuendelee kutiririka, nimehamasika kuanzisha mada kati kati ya majukumu mengine. Wenye nafasi tuendelee kutoa michango kama huyo mdau ameuliza gharama hapo juu.
Nimebanwa kidogo ila tupo pamoja.
 
Mie naomba kufahamu gharama za kodi zimekaaje kwa biashara ya saloon, vipi pia kuhusu leseni ya biashara na gharama zake?
 
Uko mkoa gani mkuu
 
Nimekuelewa..mkuu ila vipi..kuagiza mtandaoni sina uzoefu je kuna uhaikika mkubwa toka uk Wa kupata bidhaa yangu??
 
Habari ndugu zangu.Berber shop ni moja ya huduma muhimu sana Katika jamii nyingi za kitanzania,hudumu Hii haina gharama nyingi za uendeshaji japokuwa mwanzoni unaweza tumia pesa nyingi sana.Biashara Hii kama biashara nyingine nyingi inachangamoto zake mbalimbali.Je wewe ulikutana na changamoto gani na uliweza kuitatuwa kwa namna gani?
Karibuni....
 
Ndio hii mikutano inasaidia sana kubadilishana uzoefu na kuover sea namna ya kuwahudumia wateja
 
Usimamizi, watu wananyoa sana lakini wanaghushi taarifa za hesabu. Na hakuna namna utagundua hapa wamenyolewa watu 10 au 20
 
Naomba kujua vifaa muhimu kwa ajili ya kufungulia salon ya kiume hapa Nina mashine mbili nimeletewa kutoka nje za kuchaji.kama kuna kijana mtaalam wa kunyoa na mzoefu nipo tayari kufanya nae kazi.
 
Vizuri umemtajia na bei ya vitu, kazi kwake kuchambua vichache miongoni mwa hivi
kila kitu hapo atapunguza

"mwanaume mashine"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…