Biashara ya saloon ya kiume

Biashara ya saloon ya kiume

MKARASINGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
135
Reaction score
222
Habari,

Nina mpango wa kufungua saloon ya kiume, ila ninaomba kufahamishwa au kuongezewa maarifa katika mambo yahusuyo biashara hiyo.

Natanguliza shukrani.
 
Muhimu tu kinyozi uwe wewe mwenyewe kama sivyo basi upate vijana waaminifu sana.

Pesa ipo ila inahitaji usimamizi aswaa
 
Muhimu tu kinyozi uwe wewe mwenyewe kama sivyo basi upate vijana waaminifu sana.

Pesa ipo ila inahitaji usimamizi aswaa
Ni mshahara wanalipwa?, Kiasi gani?
Maana naskia ni Kama pikipiki .. kwamba unachukua kiasi flani Kila siku, yeye ana chukua itakayozidi?
 
Biashara zote zinalipa, ni usimamizi wako, muda iliofungua, ubunifu, kujitoa kwako, eneo ulilochagua, ubora wa kaz na msaada wa Mungu..Mtu mmoja atakuambia hailipi akati kuna wengine matajiri kwa biashara hiyohiyo, pia inawezekana wengine wakatoboa alaf ww kwako iwe biashara ngumu sana
 
Back
Top Bottom