Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna boda mmoja huwa namtumia sanaYa kiume
Kuna boda mmoja huwa namtumia sana
Aliniambia yeye Ana saloon ya kiume kodi analipa laki
Kaweka viti vinne
Kila kiti kimoja anataka kimuingizie elfu kumi kwa siku.....
Kwahiyo wafanyakazi wake piga ua lazima wampelekeee elfu 40 kila siku
Umeme,mishahara sijui na makorokoro mengine wanajitegemea
Yeye analipa kodi tu.

Vyovyote tu utavyouchukuliaHuu ni muongozo ama story?
Ukihitaji kinyozi nicheki mkuuWakubwa mambo vip? Mwenye uzoefu wa biashara ya saloon ya kiume naomba asaidie kushare faida na hasara au changamoto kwa ujumla za biashara hii. Asanteni sana
Kila la kheri kwake..