MrLogout
New Member
- Jan 13, 2022
- 2
- 6
Habari wakuu, naamini mko salama kabisa.
Naomba msaada wa kimawazo na ushauri katika kufungua / kufanya biashara ya Barbershop (Saloon ya kiume) kiukweli sijawahi fanya kabisa hii biashara hapo awali lakini ninapenda niifanye, ila kama mjuavyo biashara yoyote ile kabla haujaifanya ni vyema kuuliza kwa wenye uelewa wa biashara hiyo au ambao tayari wamekwisha ifanya hiyo biashara.
Leo hasa napenda kujua namna nzuri ya kuisimamia hasa katika upande wa kugawana faida Kati ya mmiliki na mfanyakazi.
Wale ambao mmekuwa mkiifanya biashara hii mmekuwa mkitumia njia gani ambayo huleta matokeo bora zaidi?