Kigorohe
Senior Member
- May 21, 2019
- 160
- 255
Habari zenu wadau!
Najua JF ni darasa tosha kwa vijana. Hivyo mimi kama kijana naomba kujua ninachokiwaza kama kipo sahihi. Mawazo yangu ni kukaanga samaki na kuwasafirisha mpaka Arusha kisha kuwauzia huko Arusha.
Nimefanya uchunguzi nikabaini kuwa kwa Arusha samaki wa Mwanza wana soko kwani ni wakubwa ukilinganisha na wa huku hasa wanaotokea nyumba ya Mungu. Natambua humu kuna watu waliwahi fanya biashara kama hii nipeni mawazo wakuu. Pia naomba kujua na kiasi cha mtaji wa kuanzia.