Nyumba za konokono wa bahariniSeashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio?
Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi?
Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400.
Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka?
Wasiliana na afisa uvuvi wa kata/wilaya/mkoaWakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi?
Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400.
Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka?
Vp ulifanikishaWakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi?
Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400.
Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa sana.Je inawezekana huo mzigo kuvuka?
Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio?
🤣🤣🤣🤣Hahahhaha this made my day