Hata Marekani sehemu za kuzika na kujenga zipo, kuna vitu vingine vingi vya kutazama zaidi ya ukubwa wa ardhi iliyo wazi.ardhi tumetumia asilia 15 nchi nzima bado sehemu za kuzika na kujenga zipo
kama nchi ambayo maendeleo yana sua sua tu ilo litashindikanaHata Marekani sehemu za kuzika na kujenga zipo, kuna vitu vingine vingi vya kutazama zaidi ya ukubwa wa ardhi iliyo wazi.
Halafu kama ardhi tunayo kubwa hivyo kwa nini kila mahali nchi nzima kuna uvamizi, uporaji na migogoro ya ardhi isiyoisha??
kuna watu wana uelewa mdogo au wengine wanang'ang'ania maeneo fulaniHata Marekani sehemu za kuzika na kujenga zipo, kuna vitu vingine vingi vya kutazama zaidi ya ukubwa wa ardhi iliyo wazi.
Halafu kama ardhi tunayo kubwa hivyo kwa nini kila mahali nchi nzima kuna uvamizi, uporaji na migogoro ya ardhi isiyoisha??
Baada ya miaka 50 nafikiri, sera si huwa ipo ya sehemu ya makaburi kuwa sehemu ya wazi au ni story?Kuna siku nilipiga mahesabu rough nikaona kuwa ikiwa kila mtu ataamua kuzikwa, katika miaka 100, makaburi ya dunia ya watu watakaozikwa katika miaka hiyo yatachukua sehemu kubwa kama nchi nzima ya Gambia.
Tuweke kwanza sheria na mifumo vizuri isiwe rahisi watu kuiba, kupora, kunyang'anywa au kuuziwa ardhi za hata mara nyingi kitapeli na maofisa ardhi na watawala. Lazima mfumo wa usimamizi ardhi uaminike kama tunataka kuvutia zaidi uwekezaji mzuri katika ardhi.Anzisha tutafuata