Biashara ya simu kipindi hichi cha Corona Virus Pandemic

Joined
Oct 6, 2016
Posts
56
Reaction score
153
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka biashara ya kuuza simu kipindi hichi imeathiriwa vibaya sana na hili janga la Corona mauzo yameshuka sana sijui sehem zingine mikoani but mimi ni mfanya biashara wa simu naongea ninachokiona field pia washkaji zangu wengi wanalalamika sana mauzo kushuka yaani unaweza kaa siku nzima hujauza hata simu moja kudaadeki.

'KWA KWELI NIKISIKIA MTU ANASEMA TUMEINGIA UCHUMI WA KATI NASHINDWA KUMUELEWA KABISA'

Hali ya biashara mtaani ni ngumu mnoo mungu atusaidie kwa kweli tupite kwenye hili janga salama.
 
Uchumi wa kati kwenye makaratasi ila kwenye ground mambo ni tofauti sana. Wananchi tunapata mlo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…