Biashara ya Simu na Laptop na changamoto zake

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Habari za humu ndani washika dau wenzangu.ebana nataka kufanya biashara ya kuuza accessories za simu na laptop

Je ni kweli zinalipaaa lakini na napenda kuifahamu biashara hii kiujumla inapoanzia
 
Mm naona km inafanywa na watu wengine itakuwa inalipa.

Cha msingi ni kuweka biashara yako sehemu yenye watu wengi,iliyochangamka.
 
inalipa lakin uvumilivu unahitajika
 
Msaada wanajamii forum wenye knoweldge na hii biashara .Nauliza jamani wenye elimu na hii kitu!!!ili uweze kwenda na kurudi Gwanzhoul nauli Tsh ngapi? Na ili ikulipe unatakiwa uwe na mtaji kiasi gan???. Pia TRA wanacharge vipi VAT??? Transport cost inakuwaje??? Na ukifika kule mitaa gani ni maarufu Kwa biashara hiiii??? Lugha gani inatumika?
 
Msaada ukikosekana,tembelea alibaba.com uweze kuchat/kuwasiliana na wauzaji wa jumla au wazalishaji;unaweza kuweka utaratibu wa kulipia na wewe kupokea mzigo pamoja na kulipia kodi n.k
 
Reactions: kyi
Msaada ukikosekana,tembelea alibaba.com uweze kuchat/kuwasiliana na wauzaji wa jumla au wazalishaji;unaweza kuweka utaratibu wa kulipia na wewe kupokea mzigo pamoja na kulipia kodi n.k
Imekaaje mkuu??vip mzigo huwa unachukua muda gan hadi kukufikia??kip bora kwenda china or kutumia alibaba??
 
Reactions: kyi
Imekaaje mkuu??vip mzigo huwa unachukua muda gan hadi kukufikia??kip bora kwenda china or kutumia alibaba??
Sijaifanya hii biashara,ila kwa mtazamo wangu unaweza kufanya mawasiliano na 'exporters' wakakupatia garama za ununuzi pamoja na 'terms' za kutumia;baada ya hapo unaweza kwenda tra wakakusaidie kuhusu kodi;au unaweza kuwatumia watu au kampuni za clearance zikakusaidia. Au unaweza ukaamua uende mwenyewe China ukanunua mzigo ukaja nao bongo na ukalipia kodi zinazotakiwa na ukaendelea na biashara yako;ni wewe mwenyewe kuangalia mtaji wako.
 
Reactions: kyi
Poa poa mkuu ahsante sna
 
Kwenda na kurud Guangzhou kwa ss hv naul ni 580$usd Oman air wametoa offer na unatakiwa uwe na mtaji c chini ya 20m kwa simu ila ukitaka accessories mtaji ata 3m unapata vifaa n kngne kwenda kule n Bora ukqjipanga mapema hotel kwa siku n 60$Usd mitaa maaruf n Guangdong ila Guangzhou weng wanaongea kiswahili bt kuna mitaa mingje wnaongea kichina tu u maelezo zaidi nicheck pm
 
Salaam wana jamvi
Kwa wale waliowai kufanya biashara hii au wanafanya biashara hii mwanza
Hivi sasa nipo Rwanda napiganisha
Ilaa Nataka kufungua duka langu inshaallah soon
Kwa wenye uzoefu mwanza nipen details kuanzia frame..
Machimbo ya kupata mzigo aggrey kariakoo yote nayajua. Na yeyote atake hitaj mzigo kutoka kariakoo pia naeza muunganisha na watu wa madukan


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimaliza kukimbizwa uje uandike vizuri
Sent by Diaspora
 
Habari za humu ndani washika dau wenzangu.ebana nataka kufanya biashara ya kuuza accessories za simu na laptop

Je ni kweli zinalipaaa lakini na napenda kuifahamu biashara hii kiujumla inapoanzia
Habari mdau. Hongera kwa kuwa na wazo la kufanya biashara. Kwanza niseme hakuna biashara inayolipa na isiyolipa kwani kila biashara inalipa na kila biashra hailipi. Nikiwa namaana kila biashara unaweza kutoboa au ukaangukia pua.
Sasa basi biashara ili ufanikiwe kwanza ijue vizuri hiyo biashara,pili location ya biashara yako,wajue wateja wako,mtaji wako ukoje hapa sio hela tu kuna muda,rasilimali watu,wazo la bishara unayoipenda na kuiweza nk.
So ukiangalia hayo na mengine mengi utakubaliana na mm kwamba kwenye biashara yoyote unaweza tajirika au ukafilisika. All the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
.[emoji383] TSH [emoji383].
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
je computer motherboard pia mnaagiza? na jee huwa zina range bei gani mf.LENOVO.LAPTOPS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…