Kwa Tanzania bado sana ila soon hili litamalizika, kila simu ina IMEI numbers hivyo kwa nchi za wenzetu simu zote zinakuwa linked na makampuni ya simu, hivyo ukiiba huwezi kuitumia nchi hiyo, hivyo soon na sisi tutafika huko.Kwenu wajuvi wa sheria za biashara.
Ninafanya biashara ndogo ya kuuza na kununua simu used, zilizotumika hapahapa jijini Dar almaarufu simu za mkononi..
Changamoto kubwa kama mjuavyo huwa kuna simu za wizi, muuzaji hawezi kukuambia ni wizi na ni vigumu kutambua kwa sababu kiteknolojia hakuna namna ya kutambua labda kwa simu km iphone ambazo inaweza kuwa iPhone disabled. Ishu ni hizi za kawaida kama infinix, tecno, Samsung na nyinginezo.
Nataka nijiweke kwenye mikono salama kisheria. Nahitaji kuwa na vielelezo gani ili nisiangushiwe jumba bovu na wajanja zaidi yangu.
Pole pia baadhi ya mapoli upiga dili na watu wauze simu then wanaifatilia unapewa kesi,wanavuta,masimu mengi yamejaa ubaoni kwaoKwa Tanzania bado sana ila soon hili litamalizika, kila simu ina IMEI numbers hivyo kwa nchi za wenzetu simu zote zinakuwa linked na makampuni ya simu, hivyo ukiiba huwezi kuitumia nchi hiyo, hivyo soon na sisi tutafika huko.
Nimelipa 4.5 kumchomoa mtoto wangu kwenye msala wa simu ya wizi, iliibiwa Arusha.
Unagharimia kila kitu kuanzia polisi wa Arusha, tameka Dar 14 days, kisha polisi wana collude na aliyeibiwa aseme aliporwa millions ili kukukomoa na kugawana na polisi!. You have pay vinginevyo wanamng'ang'ania dogo waende nae Arusha!.
Kiukweli nilisikitika sana kwasababu dogo has everything, including a good phone, lakini he wanted more!.
Kiukweli mchuma janga hula na wakao!, hili jambo limetutesa kwa kutusumbua, mwisho wa siku niliongea na aliyedai kuibiwa nikamwambia nakubali kulipa hiyo 4.5 but I know it's not true, nililipa na yakaisha ila naamini na yeye karma itakuwa imeisha mtake care kushirikiana na polisi kuwakamua Innocent victims wa simu za wizi.
P
Siku ukiunganishwa kwenye lupatikana na simu iliyotumika kwenye mauji ndio utaelewa ukubwa wa hili jambo. Kuna watu wamesota sana.Kwenu wajuvi wa sheria za biashara.