Wazo zuri,mtu unamdai hapokei namba yako,unatumia simu za kulipua kumpigia,
Ama unataka kuwasiliana na mtu,mfano mchepuko na hautaki namba yako itumike,unatumia public phone,etc
Wezi kivipi?,sio kwamba unampa mteja smartphone,,unakua na zile simu za mezani zinazotumia sim card,zinaizwa Kama laki nadhani,,so mteja anapiga simu Hapo Hapo,hawezi Ina Hilo lisimu.
Kuhusu mtu mhalifu kutumia kuita mtu amteke,huo Sasa Ni uzembe,unaitwa unakwenda bill tahadhari?