Munguwetu
Member
- Dec 13, 2022
- 87
- 80
Siku hizi imeibuka biashara ya simulizi mitandaoni ikiwemo Whatsapp na Facebook.
Hawa watunzi wamejigawa katika makundi. Watunzi halisi, wanaocopy kazi za wenzao na kuziuza bukubuku. IPO mifano
Mtunzi hapa JF ndg Singano bila shaka anajua mwenyewe anatungaje na kutuma vipande vipande wastani wa kurasa tatu.
Na wapo watunzi wengine sikuwataja hapa.
Lengo la Uzi wangu huu ni juu wa vijana matapeli wanaouza vipisi. Kawaida hujiunga kwa group hupokea simulizi na wao wanafungua akaunti magroup mapya na kulangua simulizi za wengine.
Ushauri
Kama ni kwenye Whatsapp tumien zaidi pdf. Kabla hujaituma I protect asiweze ku copy, ikiwezekana weka watermack ya bland yako.
Watunzi jitahidini muweke protection kwenye kazi zenu.