Biashara ya soda za jumla

Biashara ya soda za jumla

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
295
Reaction score
792
Wadau habari!

Naomba mwenye idea ya biashara soda za jumla,mtaji wake kiasi gani,faida yake iko vipi.

Nisaidie wakuu nione kama nitajikwamua kiuchumi maana maisha ya dar wazee ni hatari wazee
 
Back
Top Bottom