P political Engineer 2 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 295 Reaction score 792 Oct 20, 2014 #1 Wadau habari! Naomba mwenye idea ya biashara soda za jumla,mtaji wake kiasi gani,faida yake iko vipi. Nisaidie wakuu nione kama nitajikwamua kiuchumi maana maisha ya dar wazee ni hatari wazee
Wadau habari! Naomba mwenye idea ya biashara soda za jumla,mtaji wake kiasi gani,faida yake iko vipi. Nisaidie wakuu nione kama nitajikwamua kiuchumi maana maisha ya dar wazee ni hatari wazee
MANYASANI Member Joined Jun 15, 2013 Posts 46 Reaction score 13 Oct 20, 2014 #2 Faida mianne hadi mianane
P political Engineer 2 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 295 Reaction score 792 Oct 20, 2014 Thread starter #3 MANYASANI said: Faida mianne hadi mianane Click to expand... Je inalipa kweli mkuu? kwa uzoefu wako