Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels zinahitajika Nchini Tanzania(Maeneo yapi nchini) na ni kwa matumizi yapi?