njoo kwanza ufanye research mkuuuTunakuja huko, vipi wewe ndio unaishi huko
Nipo biharamulo hapa uko kwny pitapita zako visiwan vp biashara ya pool table naweza pata chochote nikilipelekaHuwa nazunguka visiwa 7 ndani ya wilaya ya Muleba,
Siishi ndani ya kisiwa kimoja kazi yangu za kuzunguka/kutembea sana
Kwa sasa hivi nipo Bumbire