Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Nakuhakikishia mkuu kuwa soko lipo tena kubwa na la kibiashara, wewe jipange tu. Tatizo linaweza kuwa TRA, maana huwa hawako wazi hivyo unaweza ukakuta kodi ya ajabu huko. Unasema Rex wako peke yao, hapana hawako peke yao kuna kampuni nyingine tena ila jina lake limenitoka nikumbuka nitakutajia. Ila inaonekana nao pia hawajajipanga vizuri kufanya biashara ya solar, wewe jipange tu soko lipo tena zaidi ya 5% nakuhakikishia.