O oldisgold Senior Member Joined Oct 2, 2013 Posts 198 Reaction score 66 Oct 13, 2013 #1 Tanzania ina watu milioni 45 wote wanataka huduma ya umeme ya uhakika na cheap Tanzania tayari inayo Bilionea wa Solar na mimi nataka nimjoin je Inalipa kuleta solar ambazo zishakuwa assembled au tufungue assembly line? Je current companies zishatengeneza mabilionea wangapi na je what are my chances?
Tanzania ina watu milioni 45 wote wanataka huduma ya umeme ya uhakika na cheap Tanzania tayari inayo Bilionea wa Solar na mimi nataka nimjoin je Inalipa kuleta solar ambazo zishakuwa assembled au tufungue assembly line? Je current companies zishatengeneza mabilionea wangapi na je what are my chances?
ogm12000 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 304 Reaction score 86 Oct 13, 2013 #2 What do you mean zimeshakuwa assembled ? ... Huyo bilionea anaitwa nani'?..
I imaney JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,014 Reaction score 316 Oct 14, 2013 #3 ogm12000 said: What do you mean zimeshakuwa assembled ? ... Huyo bilionea anaitwa nani'?.. Click to expand... anaitwa patric ngowi,zime kuwa assembled ni zimeshatengenezwa tayari kwa matumizi na sio components zakuunganisha mwenyewe to the topic kwani huwezi kubuni kitu kingine?:tape:
ogm12000 said: What do you mean zimeshakuwa assembled ? ... Huyo bilionea anaitwa nani'?.. Click to expand... anaitwa patric ngowi,zime kuwa assembled ni zimeshatengenezwa tayari kwa matumizi na sio components zakuunganisha mwenyewe to the topic kwani huwezi kubuni kitu kingine?:tape:
U ugwenousangi Member Joined Sep 11, 2012 Posts 98 Reaction score 29 Oct 15, 2013 #4 wewe ingia na wala usihangaike sana nenda kwa huyo ngowi ka kopy kila kitu na wewe utapata fungu lako kama vile wauza nyanya sokoni kila mmoja ana fungu lake
wewe ingia na wala usihangaike sana nenda kwa huyo ngowi ka kopy kila kitu na wewe utapata fungu lako kama vile wauza nyanya sokoni kila mmoja ana fungu lake
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 15, 2013 #5 ugwenousangi said: wewe ingia na wala usihangaike sana nenda kwa huyo ngowi ka kopy kila kitu na wewe utapata fungu lako kama vile wauza nyanya sokoni kila mmoja ana fungu lake Click to expand... Duuuuuhhhhhh................!!!!!!!!!!!!!!!!!
ugwenousangi said: wewe ingia na wala usihangaike sana nenda kwa huyo ngowi ka kopy kila kitu na wewe utapata fungu lako kama vile wauza nyanya sokoni kila mmoja ana fungu lake Click to expand... Duuuuuhhhhhh................!!!!!!!!!!!!!!!!!