Biashara ya spare za magari

Biashara ya spare za magari

Joined
Mar 28, 2015
Posts
11
Reaction score
9
Habari wana wa jukwaa hili adhimu na lenye manufaa katika ukombozi wa kiuchumi, leo nipo hapa kuomba ushauri na msaada wa namna gani ninaweza kuanzisha biashara ya spare za magari.
Baba yangu amekuwa dereva wa magari makubwa kwa zaidi ya miaka ishirini sasa, ameniomba ushauri ni biashara gani anaweza kufanya na ikamtoa kutokana na yeye alivyo sasa, moja kwa moja nikafikiria biashara ya spare za magari ingekuwa sawia kwake sasa ndugu zangu wanajukwaa ninaomba msaada wenu kwenye hili tuta...
- Ni kiwango gani cha mtaji anaweza anza ncho??
- Ni bidhaa zipi za spare zilizopo kwenye soko zaidi
- Ni utaalamu upi wa ziada ungehusishwa
- Ni maeneo gani mazuri yangefaa kuendesha biashara hii kwa hapa Dar es salaam
- Tafadhali kama kuna jingine unaweza nishauri wanja ni huuu...

Na mshukuriwe nyoteeee...
Call Me Elly.
 
Back
Top Bottom