Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 417
- 673
Duka la spare za pikipiki itakua mara 2 au 3 ya duka la vipodozi lililojaa.
Ukitoa gharama za kodi ya pango, TRA, makabati, nk utahitaji atleast Mil 3-5 kwa duka la vipodozi kua na mzigo mzuri.
Ongeza duka la madawa ya binadsmu (pharmacy)ingawa utahitaji vibari zaidi.
Ingawa utaongeza pesa zaidi ila aya maduka yanauza sana.
Spare za pikipiki (na bajaji) kidogo zitahitaji pesa zaidi. Angalau 8-10 Million ila uwe na fundi kwa nje. Mara chache mtu aje anunue plug au oil afu akawekee
Ahsante sana kaka mad max..Mimi nilitaka nipate picha..Mana ninauwezo kwa kuchukua frem mbili kwa pamoja..kama ni duka la vipodozi niwekee Ila mlango mwingine niweke sehem ya kuutengeneza kucha na urembo mdogo mdogo...kama ni spare za pikipiki niweke na sehemu ya car wash kwa pembeni..naomba muonhozo zaidi na mawazo yenu wadau..kwingine anataka afix pale pale.
Sijui wengine watasemaje, ila mimi kama budget sio issue ningesema komaa na spare za pilipiki. Ingawa ufanye simple research kwa wafanya biashara wa iyo kitu hapo mtaani.Ahsante sana kaka mad max..Mimi nilitaka nipate picha..Mana ninauwezo kwa kuchukua frem mbili kwa pamoja..kama ni duka la vipodozi niwekee Ila mlango mwingine niweke sehem ya kuutengeneza kucha na urembo mdogo mdogo...kama ni spare za pikipiki niweke na sehemu ya car wash kwa pembeni..naomba muonhozo zaidi na mawazo yenu wadau..
Mkuu capital inasoma 7mSijui wengine watasemaje, ila mimi kama budget sio issue ningesema komaa na spare za pilipiki. Ingawa ufanye simple research kwa wafanya biashara wa iyo kitu hapo mtaani.
2m ikatumika kwa kodi na makabati hafu 5m ikawa ya mzigo. Possible.Mkuu capital inasoma 7m