Biashara ya Spea za Pikipiki, Nafunga office nauza mzigo kwa bei nzuri ya jumla

Biashara ya Spea za Pikipiki, Nafunga office nauza mzigo kwa bei nzuri ya jumla

Moorio

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
406
Reaction score
570
Habari wanajamvi,

Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kutokana na changamoto mbalimbali haswa za kifamilia na binafsi, ninafunga office yangu ya spea za Pikipiki iliyopo Dodoma mjini maeneo ya Majengo.

Mzigo uko wa spea za Boxer, TVS na GN, bei nzuri zaidi ya kkoo. Mzigo upo wa zaidi ya 18M.

Kwa aliyetayari kununua spea za pikipiki kwa bei nzuri ya jumla tafadhali tuwasiliane.

Whatsapp +255 622284100

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Lazima ulikuwa na sababu ya kuanza biashara, achana na mkumbo, biashara zote zinaweza fanikiwa na zote zinaweza kufail, kashindwa kwa sababu zake.
Nmekusoma mkuu
Hivi bila kupata research mbili tatu tutafanya kitu kweli
Sababu ilikuepo ninataka hivyo ila mtu akikupa hata experience ya namna ya kuifanya si unakua umejua hili na lile sio lazima aseme kwanini alishindwa ila hata tu namna ya kuwapata wauzaji wazuri nini na nini kifuatwe kabla hujaanza.
 
Ulianzaje kutunza mtaji kabla ya research? Aisee utafeli, fanya research sana sana kabla hukujiandaa.
 
Ulianzaje kutunza mtaji kabla ya research? Aisee utafeli, fanya research sana sana kabla hukujiandaa.
Mkuu mbona niliandika tokea mwanzo kuwa nategemea kuanzia mwisho wa mwaka au mwakani mwanzoni
Nakusanya mtaji na maarifa
Kuna shida wapi mkuu.
 
Back
Top Bottom