Mbona ameshaweka hizo sababu? Kasome tenaKwanini unafunga mkuu.?
kwanini mkuu?Biashara hiyo wala sina hamu nayo
Biashara ya spea za pikipiki ni kama biashara ya "miyakayaka" baadhi imewatoa baadhi wamechemka.Kwa tz no easy Business
Ana risiti za efd alizonunulia? Atatoa risiti ya efd akikuuzia?Kwanini unafunga mkuu.?
Ilinifilisi kila kitukwanini mkuu?
Mkuu kama hutajali hebu funguka kidogo yani ninakusanya mtaji ili mwisho wa mwaka au mwakani nianze nayoIlinifilisi kila kitu
Kwa nini?Biashara hiyo wala sina hamu nayo
Mkuu kama hutajali hebu funguka kidogo yani ninakusanya mtaji ili mwisho wa mwaka au mwakani nianze nayo
Tupe hint kidogo tu
Nmekusoma mkuuLazima ulikuwa na sababu ya kuanza biashara, achana na mkumbo, biashara zote zinaweza fanikiwa na zote zinaweza kufail, kashindwa kwa sababu zake.
Nmekusoma mkuu
Hivi bila kupata research mbili tatu tutafanya kitu kweli
Sababu ilikuepo ninataka hivyo ila mtu akikupa hata experience ya namna ya kuifanya si unakua umejua hili na lile sio lazima aseme kwanini alishindwa ila hata tu namna ya kuwapata wauzaji wazuri nini na nini kifuatwe kabla hujaanza.
Mkuu mbona niliandika tokea mwanzo kuwa nategemea kuanzia mwisho wa mwaka au mwakani mwanzoniUlianzaje kutunza mtaji kabla ya research? Aisee utafeli, fanya research sana sana kabla hukujiandaa.
Mkuu mbona niliandika tokea mwanzo kuwa nategemea kuanzia mwisho wa mwaka au mwakani mwanzoni
Nakusanya mtaji na maarifa
Kuna shida wapi mkuu.
Heshima kwako mkuu!Lazima ulikuwa na sababu ya kuanza biashara, achana na mkumbo, biashara zote zinaweza fanikiwa na zote zinaweza kufail, kashindwa kwa sababu zake.