la pioche06
Member
- Dec 7, 2021
- 9
- 3
Wakuu naomba kujua wenye uzoefu wa baishara ya sportswear kuanzia mtaji faida hasara na changamoto na sehem ya kupata mzigo Niko mbarali mbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Dar unaenda pale soko la Ilala unatafuta mtu anayefungua hizo bello then mnakubaliana anafungua wewe unachagua anakuuzia kwa bei ya maelewano haizidi 5k zile kali then wewe unaenda unaweka kwenye dox lako unauza kati ya 10k hadi 25K. kama upo serious niombe namba ya Don anayefungua hiyo mizigo mbonge nae!Wakuu naomba kujua wenye uzoefu wa baishara ya sportswear kuanzia mtaji faida hasara na changamoto na sehem ya kupata mzigo Niko mbarali mbeya
Sawa kaka nitakucheckKwa Dar unaenda pale soko la Ilala unatafuta mtu anayefungua hizo bello then mnakubaliana anafungua wewe unachagua anakuuzia kwa bei ya maelewano haizidi 5k zile kali then wewe unaenda unaweka kwenye dox lako unauza kati ya 10k hadi 25K. kama upo serious niombe namba ya Don anayefungua hiyo mizigo mbonge nae!
Soko lipo sana hasa kwa sababu watu sasa wanahitaji kufanya mazoezi kama sehemu ya maisha yao!
Kuna watu wanendesha ndinga kwa biashara hiyo inalipa sana nipo zaidi ya whatsapp groups 6 za wanaouza kwa rejareja hizo nguo ni wanapiga hela balaa.... u just do it online, na wateja ukawapata sana tu... angalizo uwe pia mmoja wa wafanya mazoezi hasa running na uudhurie sana marathons ili kujenga network kwa wateja wako!!!
Mm sio mnunuaji tu n mchezaj mpira Kila siku nafanya mazoeziSwali. Wewe ni mara ngap? kwa mwaka umenunua vifaa za michezo....???