Kwa Dar unaenda pale soko la Ilala unatafuta mtu anayefungua hizo bello then mnakubaliana anafungua wewe unachagua anakuuzia kwa bei ya maelewano haizidi 5k zile kali then wewe unaenda unaweka kwenye dox lako unauza kati ya 10k hadi 25K. kama upo serious niombe namba ya Don anayefungua hiyo mizigo mbonge nae!
Soko lipo sana hasa kwa sababu watu sasa wanahitaji kufanya mazoezi kama sehemu ya maisha yao!
Kuna watu wanendesha ndinga kwa biashara hiyo inalipa sana nipo zaidi ya whatsapp groups 6 za wanaouza kwa rejareja hizo nguo ni wanapiga hela balaa.... u just do it online, na wateja ukawapata sana tu... angalizo uwe pia mmoja wa wafanya mazoezi hasa running na uudhurie sana marathons ili kujenga network kwa wateja wako!!!