Nataka kufanya biashara ya kuimport sukari toka brazil.
Natafuta mtu mwenye kujua bei ya sukari kwa tani kwa white refined 45 Icumsa,white crystal 150 icumsa na raw brown kuanzia 450 hadi 1200 icumsa.
Pia ningependa jua gharama za kodi na usafirishaji.
Please PM me.