Mgoshingwa
Member
- Aug 26, 2018
- 38
- 17
Nina sungura zaidi ya 150 na bata 100. Natafuta wateja. Nipo Singida. 0752011156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo makitu wapelekee wakora na walozi sisi tunakula kitimoto na majongoo bahari
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo makitu wapelekee wakora na walozi sisi tunakula kitimoto na majongoo bahari
Ungekuwa dar ningenunua sungura na nyama ya bata.Sungura wa kienyeji 10,000/= na wa kisasa 30,000/=. Nyama ni 10,000/= kwa kg. Bata 8,000/= kwa kg