Mgoshingwa
Member
- Aug 26, 2018
- 38
- 17
Hayo makitu wapelekee wakora na walozi sisi tunakula kitimoto na majongoo bahari
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo makitu wapelekee wakora na walozi sisi tunakula kitimoto na majongoo bahari
Ungekuwa dar ningenunua sungura na nyama ya bata.Sungura wa kienyeji 10,000/= na wa kisasa 30,000/=. Nyama ni 10,000/= kwa kg. Bata 8,000/= kwa kg