ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Habari katika Jamvi hili?
Ni kweli tunatambua Watanzania wengi wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali, yanayoanzia uzazi, unene ulipitiliza, misuli, nyonga, vidonda vya tumbe, BP, sukari, cancer, tezi dume.
Sasa kutokana na matatizo ya watanzania na wananchi kuwa na uelewa finyu juu ya Afya zao na ni nini wanahitaji katika kusaidia Mili yao , wamejikuta wakiingia katika ununuzi wa supplement mitandaoni , na wanaouza c madaktari Bali ni wafanya biashara. Nilishanga rafiki yangu tulisoma nae coz ambayo Haina udaktari hata chembe Sasa hivi anatangaza supplement mitandaoni na kutoa ushauri wa kitabibu, na Kusema dawa zao zinatibu vidonda, sukari, matatizo ya uzazi.
Sasa nimeona mitandao mingi Kuna madaktari makanjanja na washauri wamekuja na bizaa za supplement zifuatazo
1. Supplement za Wanyanyua misuli, wenzetu wanaita steroids, protein powder, hizi ni mahususi Kwa ajili ya wabeba vyumba, na ndani Huwa wanachanganya machemical ambayo baadae yanasababisha matatizo makubwa ya moyo, sawa hizi hazina kazi yoyote zaidi ya kusisimua misuli ikue. Sasa nimeona kina mama wanauziwa haya madawa wanadanganywa watapungua uzito, pia wasanii kama Harmonize, diamond ,etc nao ni wanunuzi wakubwa Kwa ajili ya kukuza misuli, Kwa maana gym effect Kuna aina ya mwili huwezi para. ULAYA mtu kabla hajatumia anaenda Kwa daktari ndo anamshauri, ila huku mfanyabiasharabanaleta mzigo Hana elimu, shida ni kuuza na kupata faida, dawa hizi ni ghali mno
2. Supplement za kutibu magonjwa ya kawaida, hatukatazi supplement , lakini kumekuwa na uhuni katika biashara hii na nyingine ndani yake Kuna ponz scheme au upatu. Kwanza wanaouza ni wengi, na wao wanatoa ushauri wa kitabibu na wengine hawajawahi hata Kusoma unesi, Kwa kuwa watanzania Wana matatizo wanatumia mwanya huo, hizo supplement wanasema zinatibu hataagonjwa hayana dawa aisee, cancer, sukari, etc na zinauzwa bei ya juu, watu wanategemea kupona kunywa hizi supplement lakini wapi, wengine wameuziwa za kupunguza unene Tena Kwa bei juu matokeo yake hamna, nasema hakuna dawa ya kupunguza unene zaidi ya kupunguza chakula na mazoezi.
Sisi sote tunajua nchi yetu Ina watu wajinga wengi, ndo mana wanatapeliwa kirahisi, wanaibiwa hata uchaguzi, Sasa naomba serikali iweke mkono wake katika biashara hizi angalau ziwe regulated, basi hata wanaouza waajiri daktari we anatoa prescription haiwezekani usanii Kila sehemu