Biashara ya swimming pool mtaani

Biashara ya swimming pool mtaani

mgungani

Member
Joined
May 13, 2022
Posts
38
Reaction score
60
Tupeane uzoefu kuhusu hii biashara kwenye baa za mitaani, nataka nianzishe.

Tupeane uzoefu, garama za kujenga swiminng pool, masharti, leseni, kodi faida na hasara, mahitaji, namba za mafundi wenye uzoefu wa kujenga, makisio ya chini kuweza kujenga la kawaida uswahilini.

Sehemu ya kujenga msongola kitunda Dsm, baadae nitatoa namba kwa maelekezo tufanye biashara.

Wazoefu karibuni kwa ushauri.
 
Faida: siku biashara ikiyumba ww kwenye swiming pool fuga samaki

Nawasilisha....
 
Tupeane uzoefu kuhusu hii biashara kwenye baa za mitaani, nataka nianzishe.

Tupeane uzoefu, garama za kujenga swiminng pool, masharti, leseni, kodi faida na hasara, mahitaji, namba za mafundi wenye uzoefu wa kujenga, makisio ya chini kuweza kujenga la kawaida uswahilini.

Sehemu ya kujenga msongola kitunda Dsm, baadae nitatoa namba kwa maelekezo tufanye biashara.

Wazoefu karibuni kwa ushauri.
Idea nzuri,sio lazima iwe kwenye mabar,unaweza kutafuta sehemu maalumu kwa ajili ya swimming pools,pia uwe na guides au trainers kwa ajili ya usalama wa waogeleaji,usafi pia ni muhumu sana.
 
Fungua tuje kudiba

Make sure kuwe ni sehemu tulivu,yani mtu akiwa hapo anajihisi yupo sehemu flani hivi amazing

Jenga swimming pool mbili,moja ya kina kifupi kwa ajili ya watoto,na nyingine ya watu wazima atleast yenye kina cha futi 7

Weka dj awe anapiga nyimbo kuburudisha watu

Sehemu ya watu kukaa na kupumzika

Kuna wazazi wanaleta watoto wao lakini wao hawaogelei so wanahitaji sehemu ya kukaa na ukiwa na huduma ya vinywaji itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom