Idea nzuri,sio lazima iwe kwenye mabar,unaweza kutafuta sehemu maalumu kwa ajili ya swimming pools,pia uwe na guides au trainers kwa ajili ya usalama wa waogeleaji,usafi pia ni muhumu sana.Tupeane uzoefu kuhusu hii biashara kwenye baa za mitaani, nataka nianzishe.
Tupeane uzoefu, garama za kujenga swiminng pool, masharti, leseni, kodi faida na hasara, mahitaji, namba za mafundi wenye uzoefu wa kujenga, makisio ya chini kuweza kujenga la kawaida uswahilini.
Sehemu ya kujenga msongola kitunda Dsm, baadae nitatoa namba kwa maelekezo tufanye biashara.
Wazoefu karibuni kwa ushauri.