Hii inalipa au?
Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa mzigo umekuwa mwingi mno kiasi cha kuwa hakuna soko
hebu wajuzi tuwekeeni sawa juu ya hiii biashara.
Jamani sikilizeni kwanza tanzanite haikosi soko hata Kama ww Una point 3 inauzikatu hayo masoko yandani.
Mtu anaekwambia hakuna masoko, Mzigo ni mwingi ni muongo, na Kama huyajui hayo madini usiingie Ktk hiyo biashara,
Mm ninae kwambia hv ninafanya kazi ktk machimbo ya tanzanite merelani. Masoko ya tanzanite kwa ndani ya nchi ni Arusha.