SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
BIASHARA YA TAX DAR NI GARI GANI INAFAA ZAIDI?
Wadau wa hiyo biashara hapo juu,
Naomba kupata ushauri kwa aina ya gari inayofaa ili kukuwezesha kupata faida kama mmiliki na kuwakabidhi madereva kwa hesabu maalumu hasa ukizingatia mambo kadhaa muhimu.
Yafuatayo ni baadhi tu:
1. Matumizi mazuri ya mafuta
2. Mvuto kwa wateja aina zote
3. Uimara na uvumilivu wa gari kwa mazingira yetu
4. Gharama zingine za uendeshaji
5. Upatikanaji wa spare na mafundi wake
6. Bei yake au gharama za kuinunua/kuipata
7. Ukubwa wa engine
Na mengine mengi
Najua zipo gari nyingi sana mitaani TOYOTA, NISSAN, HONDA , MAZDA, SUZUKI, DAIHATSU