SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
Kwa kiwanja ninacho Kibaha Mailimoja4.5 km kutoka mizani tuwasiliane 0625 555 810Jamani Mimi napenyeza na shida zangu hapa, Mosi, Kwanza nahitaji Kiwanja cha makazi ningependelea mbezi ya kimara, Makabe n.k Shida ya Pili,, Ninaomba kujua bei ya GARI Kilikuu, na Tax Carina au corola.ili nichague GARI mojawapo ambayo nitaimudu kuinunua. MAMBO YOTE YANAENDA SAMBAMBA. HIVYO MWENYE DETAIL ANIFAHAMISHE