Biashara ya tenda ya kupamba katika mahoteli na mambo ya uchapishaji

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party, kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya kiserikali na kichama hivyo kwa yeyote anayehitaji kufanyiwa shughuli hiyo anione na

vilevile ni typesseter wa kuchapa vitabu mbalimbali vya maofisin na vya binafsi kama vile Proforma Invoice, Receipt, Petty cash voucher, forms, reports, cash sale, Medical cards, stores requisition,Bank payment voucher, good received note, Ledger book etc na vilevile naprint Mugs, Pens, Tshirts, Caps, Drop Banners, Stickers, Brochures, Business card, Weddings cards, Seasonal cards, Posters, Magazines etc.
kwa mawasiliano email: nikprintgraphics@yahoo.com au 0784 960517


Ni baadhi ya vitu ninavyofanya:
 

Attachments

  • SAMPLE.jpg
    246.3 KB · Views: 150
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…