Biashara ya Tiles Dar au Dodoma

Biashara ya Tiles Dar au Dodoma

keizzy

Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
34
Reaction score
27
Wanabodi salama?

Nafikiria kuingia kwenye biashara ya tiles (ceramic na porcelain) importing kutoka nje ya nchi.

Nna uelewa kidogo wa hizi products kupitia kwa mafundi wa tiles na kudeal na suppliers pale kariakoo.

Naweza kuanzisha hapa hapa Dar au Dodoma.

Ingawa wauzaji wapo wengi ila naona soko bado kama kubwa. Mtaji nawaza kuweka 100M (Savings)

Mimi mwajiriwa private sector.

Wenye uzoefu wa hii biashara naomba ushauri wenu zaidi.
 
Wekeza Dom uza bei cheep kama DSM itakulipa Kwa maana unazitoa direct nje hamna mtu kati
 
Back
Top Bottom