Biashara ya till imefanya wafanyakazi wengi wa voda kuwa matapeli

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
422
Reaction score
405
Biashara ya kuuza vifaa vingi hususani till za voda ni chanzo kikubwa cha utapeli kwenye ofisi zao.

Vifaa vingi vinavyotumika kwa ajili ya kazi zinazohusu vodacom hutolewa bure lakini ukienda na imani hii hutapata mpaka uzeeke.

Mfano simu za usajili zililetwa kwa ajili ya mawakala pamoja na frereencer lakini kuna biashara inaendelea ya kuwatafutia sababu ili waonekane wana makosa na kuna wakati wamekuwa wakikamatwa na kuwekwa ndani kwa kisingizio cha kutokufanya kazi.

Kudai simu ya kampuni sio kosa ila kitendo cha kumnyang'anya simu frereencer na kwenda kumuuzia muuza nguo au mtu yeyote ambae hausiki na kazi wakati kuna watu wamewekwa ndani kwa kisingizio cha kutokuzifanyia kazi huo ni uhuni uliopitiliza.

Vodacom chunguzeni watu wenu mliowaamini kwenye ofisi zenu.

Ofisi zenu zimekuwa vijiwe vya wavuta bangi na wahuni kwenye baadhi ya maeneo.
 
Toa madai ya kueleweka usaidiwe..... maana ulivyoandika ni kama unajiongelesha peke yako.
 
Mkuu freerencer ndio wapi hao?? ndugu zao FREELANCER au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…