Ninaomba kupata ushauri juu ya biashara ya transport pamoja na changamoto zake hasa kwenye upande wa operations.
Ninafikiria kufanya hii biashara na ningependa kufahamu wapi pa kuanzia yaani aiana mfano Fuso (less than 10 tons) au rigid bodies (ton 10 - 20) na semi trailers.