Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Kwahiyo nini kifanyike ndugu? Nataka kujikita katika hii biashara ya Utalii pia! Unanishauri nielekeze nguvu katika nyanja zipi pengine, ili nami nimiliki uchumi?The days of travel agents are numbered. Muda sio mrefu hakuna mtu ataenda kufanya booking ama kununua tickets kupitia kwa travel agents. Kila kitu kitafanyika online. Sikumbuki last time nilienda kwa travel agent kwa safari zangu za ndani na nje ya nchi. naamini muda sio mrefu itakuwa hivyo kwa watu wengi
Mzazi, kumbuka JF pia ni sehemu ya kufanyia utafiti. Usiogope bwana!Mwanangu Bosco Ntaganda acha uvivu. Nenda kafanye utafiti mwenyewe. Tunaweza kukupa ushauri ukaishia kuwa mauti ya vijisenti vyako. Muhimu lazima uwe connected ili kupitisha mizigo ya mibwimbwi na kukwepa kodi. Utapata kazi kweli kwa vile wengi wenye Bureau de change na Travel Agencies ni ma*********. Watakupiga vita kweli kweli vinginevyo uwe na uhusiano na vigogo mafisadi serikalini.
Wandugu hebu nipeni maoni basi, ni maeneo gani naweza kujikita huko kwenye utalii?
Kuna mdau hapa aliongelea juujuu bila kufafanua, kuhusu kuwekeza katika sekta ya Utalii, naombeni mnifungue macho jamani, tumewaachia sana watoto wa vigogo!
Popote pale ili mradi pawe jirani na mbuga za wanyama mkuu! Ama wewe unapendekeza maeneo gani ndio yapo poa zaidi?mkuu bosco unataka uifanyie wapi? na biashara hiyo inalenga zaidi watalii wa nje au wasafiri wa ndani? nitarudi
Popote pale ili mradi pawe jirani na mbuga za wanyama mkuu! Ama wewe unapendekeza maeneo gani ndio yapo poa zaidi?
Binafsi napendelea kujikita na Watalii wa nje mkuu!
Karibu sana kwa ushauri Kamanda.
binamu! kumbe kuna majihela sana huku sivyo?Kwa bongo hiyo kampuni iwe kampuni ya utalii kwani travel agent hapa navyoelewa ni kama thomas cook google uone business zao na mimi ninavyokushaurini kama hawa kina leopard tours uwe na magari yako unawapeleka watalii kwenye destinations zao uandae package za kuwapeleka hao wazungu package zao zinafika hata usd 3000 per head ukipata wateja 1000 kwa mwezi revenue yako itakuwa hata 1,000,000 per year na kumbukq ni usd
Mkuu biashara ya Utalii kwa Upande wa Wazawa ni ngumu mno, aikuambie mtu na makampuni mengi ya wazawa yanadili na wale watalii wasio kuwa na pesa ya maana, Makampuni mengi yaliyo kamata soko ni ya Wazungu wa Ulaya, America, Makaburu an wahindi.
Hizi kampuni zina ofisi huko huko majuu, na baadhi ya kampuni hata akaunt ziko huko huko na payment inafanyika huko huko, huko wageni huja kutalii tu