Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 824
Unaanza biashara ambayo mda mfupi tu haitakuwepo tena. Matairi karibia yote duniani yatakuwa tubeless chini ya miaka mitano.Hayo ni makadirio yangu. Ungelifanya vizuri zaidi kwenye tubeless na sio tubes.Nataka kuanza biashara ya kuuza tube za magari. Naombeni ushauri, changamoto na size za tube ambazo zinatoka haraka kwa wale wenye uzoefu na hii biashara. Pamoja na utokaji wake dukani.
Nakaribisha mawazo, ushauri, changamoto na vikwazo huku nikitanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtakaoshiriki kutoa mawazo yenu.